Rais Dr Jakaya Kikwete akizindua rasmi mnara wa mawasiliano wa kampuni ya Voda com wenye kasi ya ajabu ya 3G katika mji wa Njombe mkoa mpya wa Njombe leo kabla ya kuzindua rasimi mkoa wa Njombe leo |
Mkuu wa wilaya ya Njombe Sarah Ndumba akiwa na watenda kazi wa Vodacom Salum Mwalimu na Nguvu Kamando kulia |
Mkuu wa wilaya ya Njombe Sarah Dumba kushoto akimsubiri Rais Kikwete kuzindua mnara wa 3G wa Voda Com mkoa wa Njombe |
Wafanyakazi wa Vodacom wakisubiri kumpokea Rais Kikwete |
Ofisa mawasiliano wa Vodacom Sam Mwalimu akifafanua jambo |
Rais Kikwete akiwasili kuzindua mnara wa Vodacom mjini Njombe |
Wafanyakazi wa Vodacom wakipiga makofi wakati Rais Kikwete akizindua mnara wa 3G mjini Njombe |
Head of Network Perfomance wa Vodacom Tanzania Nguvu Kamando
akitoa taarifa kwa Rais Jakaya Kikwete juu ya mkakati wa Vodacom
kuendelea kuwafikia watanzania waliopo pembezoni zaidi
Comments