Aliyemuua Mama Yake Mzazi Mwandishi wa habari wa ITV/Radio One, Ufoo Saro na Kumjeruhi Ufoo Saro Kisha Kujiua Mwenyewe Marehemu Anthery Mushi Aagwa Jijini Dar es Salaam
Waombolezaji wakipita
kuaga mwili wa aliyekuwa mzazi mwenzake mwandishi wa habari wa ITV/Radio One,
Ufoo Saro marehemu Anthery Mushi wakati wa ibada fupi ya kuaga mwili wake
iliyofanyika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam Jana
Sehemu ya waombolezaji
wakisikiliza kwa makini wasifu wa aliyekuwa mzazi mwenzake mwandishi wa habari
wa ITV/Radio One, Ufoo Saro, marehemu Anthery Mushi, muda mfupi kabla ya kuagwa
mwili wake katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam jana Marehemu Anthery alisafirishwa Jana kuelekea
Uru, Moshi kwa maziko yanaotarajiwa kufanyika LEO.Picha Zote na Mroki
Comments