Tuesday, October 29, 2013

NAIBU WAZIRI WA MADINI AFUNGUA MAONESHO YA MADINI YA VITO ARUSHA, ATAKA USAWA WA KIBIASHARA


 Naibu Waziri wa Madini,Stephen Massele akiwasili kwenye hoteli ya Mount Meru jijini Arusha kufungua maonesho ya pili ya madini aina ya Vito yanayotoa fursa Tanzania kua kituo kikubwa kwa madini.
  Naibu Waziri wa Madini,Stephen Masele akihutubia wadau wa madini leo kwenye hoteli ya Mount Meru jijini Arusha wakati akifungua maonesho ya pili ya madini aina ya Vito.
 Wadu wa sekta ya madini kutoka ndani na nje ya nchi wakifatilia hotuba ya Naibu Waziri Masele

  Naibu Waziri wa Madini,Stephen Massele(kulia) akizungumza na mfanyabiashara madini nchini,Dk Anthony Frisby katika  hoteli ya Mount Meru jijini.
 Wafanyabiashara wakiangalia madini ya aina mbalimbali kutoka kwa wafanyabiashara wa DRC
  Naibu Waziri wa Madini,Stephen Massele akimsikiliza Mwenyeikiti wa TAMIDA,Sammy Mollel wakiti akitembelea mabanda ya wauzaji  kwenye hoteli ya Mount Meru jijini Arusha ..
 Madini ya Tanzanite ambayo huchimbwa nchini Tanzania pekee katika machimbo ya Mererani mkoa wa Manyara.
 Naibu Waziri wa Madini,Stephen Massele(kulia)akisalimiana na Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Arusha Techinical College,Gasto Leseiyo,Chuo hicho kinatoa mafunzo ya Uchakataji madini na kutoa wataalamu wanaokubalika katika soko la ajira.Habari Picha na 
www.rweyemamuinfo.blogspot.com

No comments: