Friday, October 04, 2013

PICHA MBALIMBALI ZA VURUGU ZILIZOTOKEA LEO MBAGALA BAADA YA KUGONGWA KWA MWANAFUNZI NA KUFA

 
Askari kanzu katika jitihada za kuwatawanya waandamanaji.



 
Kamanda Engelbert Kiondo (wa pili kulia) akipokea maelekezo kutoka kwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Kizuiani, Mashaka Selemani (wa kwanza kushoto).

 
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kipolisi Temeke, Engelbert Kiondo (wa tatu kulia) akiwa katika eneo la tukio.



 
Mojawapo ya matairi yaliyochomwa na wananchi.


Wananchi wakiandamana wakati wa vurugu hizo. 
 
Wananchi wakiwa eneo alipogongwa mwanafunzi.


Wakazi wakiwa na mabango kuashiria kutaka matuta baada ya kutokea kwa ajali iliyosababishwa kifo cha mwanafunzi wa shule kufariki 
Polisi wa usalamam akiwatuliza wananchi walioshikwa na hasira Mbagala


Baadhi ya wakazi awakiwa wameweka mawe kuzuiia magari yasipite baada ya mwanafunzi kugongwa na kufariki Mbagala

No comments:

RAIS DKT. MWINYI: TUWALEE VIJANA KATIKA MAADILI, TUDUMISHE AMANI KUELEKEA UCHAGUZI

Zanzibar, 11 Julai 2025 — Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametoa wito wa kitaifa kwa ...