

Rais Jayaka Mrisho Kikwete aki furahi na mkurugenzi wa kampuni ya Mufindi Tea & Coffee Limited Noel Lindsay Smith baada ya kufungua kiwanda cha chai cha Ikanga wilaya ya Njombe baada ya kukifungua.

Rais Jayaka Mrisho Kikwete akikagua sehemu mbalimbali za kiwanda cha chai cha Ikanga wilaya ya Njombe baada ya kukifungua.

Rais Jayaka Mrisho Kikwete akihutubia mkutano wa hadhara baada ya kufungua kiwanda cha chai cha Ikanga wilaya ya Njombe baada ya kukifungua leo Oktoba 18, 2013.
No comments:
Post a Comment