Thursday, October 03, 2013

Waziri Dkt. Fenella Mukangara amewateua wafuatao kuwa wajumbe wa Bodi ya Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) kwa kipindi cha 2013-2015.

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara 
--
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA HABARI,VIJANA,UTAMADUNI NA MICHEZO


Walioteuliwa ni Dkt. Shani Omari
-
Mkuu wa Idara ya Fasihi, TATAKI Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Prof. Yohana P. Msangila
-
Kaimu Mkurugenzi, TATAKI, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Bi. Ester Riwa
-
Mwakilishi wa Wizara.

Dkt. Issa Haji Zidi
-
Mhadhiri, Chuo Kikuu cha Taifa, Zanzibar.

B. Khadija Bakari Juma
-
Katibu Mtendaji, Baraza la Kiswahili, Zanzibar.

Dkt. Martha Qorro
-
Mhadhiri, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Bw. Mmanga M. Mjawiri
-
Mhadhiri, Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar.

Bi. Razia Yahaya
-
Mratibu wa mitaala, somo la Kiswahili, Taasisi ya Elimu, Dar es Salaam.

Bw. Richard F. Mbaruku
-
Mkurugenzi Msaidizi, Wizara ya Katiba na Sheria.

Bi Selina Lyimo
-
Mkurugenzi wa Utawala, Ofisi ya Rais, Tume ya Utumishi wa Umma.

Bw. Keneth Konga
-
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi.

Bw. Amour Abdallah Khamis
-
Mhadhiri, Chuo Kikuu cha Taifa, Zanzibar.

Bw. Omari Kiputiputi
-
Mkuu wa Chuo cha Biashara Dodoma, Msanifu Lugha na mtunzi wa vitabu.

Prof. John G. Kiango
-
Makamu wa Mkuu wa Chuo, Chuo Kikuu cha Ekenford Tanga.

Bi. Shani Kitogo
-
Afisa Utamaduni Ilala, mtaalamu wa lugha ya Kiswahili.

Bw. Ally Kasinge
-
Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI.

Bw. Ahmed Fadhil Mzee
-
Mhadhiri, Chuo cha Kiislam Zanzibar.

Bi. Rose Lukindo
-
Mkurugenzi Msaidizi mstaafu, Sehemu ya Lugha, Wizarani.
20.
Bw. Shabani Kisu
-
Mtangazaji na Mtayarishaji wa kipindi cha lugha ya Kiswahili TBC.
21.
Bw. Edwin Mgendera
-
TAMISEMI

Kwa mujibu wa kanununi za BAKITA, kikao cha kwanza cha Bodi ndicho kinachochagua viongozi wa bodi hiyo

No comments: