Mwanasiasa mkongwe Peter Kisumo Aonya CCM yaweza Kung’oka Madarakani Kutokana na Kunyamazia Vitendo vya Ufisadi na Matumizi Mabaya ya Rasilimali za Umma
Mwanasiasa na kada mkongwe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Peter Kisumo ameonya kuwa chama hicho kinaweza kuondolewa madarakani kutokana na kunyamazia vitendo vya ufisadi na matumizi mabaya ya rasilimali za umma vinavyotokea nchini.
Mzee Kisumo alitoa onyo hilo wiki iliyopita katika mazungumzo maalumu aliyofanya na Mwananchi nyumbani kwake Dar es Salaam kuhusu kumbukumbu ya miaka 14 ya kifo cha Mwalimu Julius Nyerere inayoadhimishwa leo.Kwa habari zaidi Bofya na Endelea.......
Comments