Monday, October 07, 2013

Rais Jakaya Kikwete Azindua Mradi wa Umeme Wilaya ya Kisarawe Eneo la Mzinga

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akibonyeza kitufe kuzindua rasmi Mradi wa Umeme Wilaya ya Kisarawe Eneo la Mzinga jana mchana. Wanne kushoto ni Waziri wa Nishati na Madini Professa Sospeter Muhongo,Watatu kushoto ni Mbunge wa Kisarawe Mhe.Athumani Jaffo, Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO,Mhandisi Felchesmi Mramba na kulia ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete. Picha na mdau Freddy Maro-IKULU

No comments:

NHC YAKABIDHI MSAADA KWA WATU WENYE ULEMAVU UBUNGO

  Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kupitia kwa Afisa wake Mkuu wa Habari, Yahya Charahani, limekabidhi msaada wa vifaa vya kusaidia watu we...