Rais Jakaya Kikwete Ashiriki Swala ya ELD EL HAJJ Jijini Dar es Salaam Posted by Vempin Media Tanzania on October 17, 2013 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na baaadhi ya waumini wa dini ya kiislamu muda mfupi baada ya kushiriki swala ya ELD EL HAJJ iliyofanyika katika msikiti wa Maamur Upanga Jijini Dar es Salaam Leo. Picha na Freddy Maro-IKULU Comments
Comments