Monday, October 07, 2013

Askofu Malasusa Azindua Rasmi na Kuwekwa Wakfu Kwa Kanisa la Usharika wa Mabibo External Dar
















































Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), 
Dk Alex Malasusa, akimtambulisha kwa waumini wa kanisa hilo 
la usharika wa Mabibo External, sanjari na kumtia moyo katika 
utendaji wake, Mbunge wa Jimbo la Ubungo-Chadema, John Mnyika,  
kwenye ibada maalum ya ufunguzi rasmi na kuwekwa wakfu kwa 
kanisa la usharika wa Mabibo External, Dar es Salaam. Picha Zote 
na Dande Francis

No comments:

NHC YAKABIDHI MSAADA KWA WATU WENYE ULEMAVU UBUNGO

  Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kupitia kwa Afisa wake Mkuu wa Habari, Yahya Charahani, limekabidhi msaada wa vifaa vya kusaidia watu we...