MAKAMU WA RAIS DKT.GHARIB BILAL AMJULIA HALI KAKA WA DKT. SALMIN AMOUR, ABUU AMOUR, ALIYELAZWA HOSPITALI YA MUHIMBILI


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na mgonjwa Kaka wa Rais Mstaafu wa Zanzibar, Salmin Amour, Abuu Amour Juma (73) aliyelazwa Hospitali ya Muhimbili, wakati alipomtembelea kumjilia hali jana hospitalini hapo. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais

Comments