Wednesday, July 06, 2016

DC WA LONGIDO DANIEL CHONGOLO ATOA MKONO WA EID KWA MASHEIKH WA MISIKITI YA NAMANGA NA LONGIDO MKOANI ARUSHA

 Mkuu wa wilaya ya Longido Bw. Daniel Chongolo (wa tatu kulia) akikabidhi zawadi za Idd kwa Masheikh wa misikiti ya mji wa Namanga na Longido mjini wilayani Longido leo,mkoani Arusha. Mh Chongo amekabidhi  zawadi hizo kwa misikiti 6 iliyopo wilayani Longido mapema Leo.
 Mkuu wa wilaya ya Longido mkoani Arusha Bw. Daniel Chongolo akikabidhi zawadi za sikukuu ya Idd kwa Masheikh wa Misikiti ya Namanga na Longido mjini leo. Mkuu huyo wa wilaya pia ametumia nafasi hiyo kujitambulisha kwao.

No comments:

RAIS DKT. MWINYI AFIKA MBWENI KUTOA POLE KWA FAMILIA YA MAREHEMU MAMA FATMA KARUME

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi , akitoa pole kwa Rais Mstaafu wa Zanzibar na Mwenyekiti...