Sunday, July 03, 2016

TAARIFA KAMILI YA MSIBA WA ALIYEKUWA MBUNGE WA JIMBO LA KILINDI MAREHEMU BEATRICE SHELUKINDOFamilia ya Bwana William H. Shelukindo, inasikitika kutangaza kifo cha Bibi Beatrice Matumbo Shelukindo (pichani) kilichotokea siku ya Jumamosi 2/7/2016 huko Arusha. 

Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemu 8 Galu Street,Ada Estate, Dar es salaam na huko Arusha.

Mazishi yatafanyika siku ya Jumatano Tarehe 6/07/2016 alasiri Mjini Arusha.
Bwana ametoa. 
Bwana ametwaa.
 Jina la Bwana na lihimidiwe.
AMINA
Post a Comment