Tuesday, July 12, 2016

CHAMA CHA WAENDELEZAJI MILIKI NCHINI CHANZINDULIWA DAR

 Naibu wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angeline Mabulla akiwasili kwenye Mkutano wa Pili wa awali wa uanzishwaji wa Chama cha Waendelezaji Miliki Tanzania (TREDA) na kulakiwa na Agatha Makungu wa Shirika la Nyumba la Taifa, kwenye ukumbi wa Mikutano wa Makao Mkuu ya Shirika la Nyumba la Taifa -NHC PLACE leo.
 Naibu wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angeline Mabulla akihutubia kwenye Mkutano wa Pili wa Chama cha Waendelezaji Miliki Tanzania (TREDA) kwenye ukumbi wa Mikutano wa Makao Mkuu ya Shirika la Nyumba la Taifa -NHC PLACE leo. 

Katika Mkutano huo Kamati ya Muda iliundwa ambapo 
1.Mwenyekiti wa muda wa Kamati hiyo ni Habbi Gunze, 
2. Makamu Mwenyekiti ni Zohra Moore.
3. Katibu Emilian Rwejuna.

 Naibu wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angeline Mabulla akiwasili kwenye Mkutano wa Pili wa awali wa uanzishwaji wa Chama cha Waendelezaji Miliki Tanzania (TREDA) na kulakiwa na Agatha Makungu wa Shirika la Nyumba la Taifa, kwenye ukumbi wa Mikutano wa Makao Mkuu ya Shirika la Nyumba la Taifa -NHC PLACE leo.
 Sehemu ya Washiriki wa Mkutano wa pili wa Chama cha Waendelezaji Miliki unaokusudia kuanzisha Chama hicho cha Waendelezaji Miliki kwenye ukumbi wa Makao Makuu ya NHC leo.
 Naibu wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angeline Mabulla akiwasili kwenye Mkutano wa Pili wa awali wa uanzishwaji wa Chama cha Waendelezaji Miliki Tanzania (TREDA) na kulakiwa na Mshereheshaji wa Mkutano huo, Ephraim Kibonde, kwenye ukumbi wa Mikutano wa Makao Mkuu ya Shirika la Nyumba la Taifa -NHC PLACE leo.
Sehemu ya Washiriki wa Mkutano wa pili wa Chama cha Waendelezaji Miliki unaokusudia kuanzisha Chama hicho cha Waendelezaji Miliki kwenye ukumbi wa Makao Makuu ya NHC leo.
 Naibu wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angeline Mabulla na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu wakifuatilia jambo kwenye Mkutano wa Pili wa awali wa uanzishwaji wa Chama cha Waendelezaji Miliki Tanzania (TREDA), katiba ukumbi wa Mikutano wa Makao Mkuu ya Shirika la Nyumba la Taifa -NHC PLACE leo.

Post a Comment