
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu akizungumza na waandishi wa habari wakati wa maonyesho ya TANTRADE Sabasaba yanayoendelea katika viwanja hivyo vilivyopo barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam ambapo ameelezea uendelezaji na uuzaji wa nyumba katika maeneo mbalimbali unaoendelea katika miradi yao iliyopo nchi nzima.


Clara Lumbanga Ofisa Maendeleo ya Biashara NHC akimuangalia mmoja wa wananchi waliotembelea katika banda hilo wakati alipokuwa akisaini kitabu cha wageni.
Clara Lumbanga Ofisa Maendeleo ya Biashara NHC akimuangalia mmoja wa wananchi waliotembelea katika banda hilo wakati alipokuwa akisaini kitabu cha wageni.


Clara Lumbanga Ofisa Maendeleo ya Biashara NHC akitoa maelezo kwa wananchi mbalimbali waliotembelea katika banda la Shirika la Nyumba la Taifa NHC.


Afisa Mauzo Mwandamizi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Joseph Haule akizungumza na Mkurugenzi wa Blogu ya Fullshangweblog Bw. John Bukuku wakati alipotembelea katika banda la NHC.
No comments:
Post a Comment