Monday, July 25, 2016

MBUNGE WA UKONGA MWITA WAITARA ATEMBELEA SHULE NA KUKABIDHI MADAWATI NA VIFAA VYA MICHEZO

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Magole wakiwa wamebeba moja ya madawati waliokabidhiwa na Mbunge wa Ukonga Mwita Waitara jana jijini Dar es salaam.
mwit2Mbunge wa Ukonga Mwita Waitara, kulia akisalimiana na Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Kiboga iliyopo Chanika Mvuti Dar es Salaam wakati alipoenda kukabidhi msaada wa madawati jana
mwit3Mbunge wa Ukonga Mwita Waitara, akizungumza na kina mama wa kikundi cha Kikoba Cha Mpanga wa Vikoba kilichopo Magole wakati alipokuwa akitembelea jimbo hilo jana
mwit4Mbunge wa Ukonga Mwita Waitara akisalimiana na wanafunzi wa Shule ya msingi Magole wakati alipokabidhi msaada wa madawati
mwit5Mbunge wa Ukonga Mwita Waitara akimkabidhi msaada wa mipira Mwalimu wa Michezo, Emmanuel Zongo wa Shule ya Msingi Magole wakati alipokwenda kukabidhi msaada wa madawati jana
mwit6Mbunge wa Ukonga Mwita Waitara akizungumza na  na wanafunzi wa Shule ya Msingi Mbondole  baada ya kukabidhi madawati jana
mwit7Mbunge wa Ukonga Mwita Waitara,  akiwafundisha somo la hesabu wanafunzi wa Shule ya Msingi Mbondole baada ya kukabidhi madawati na vifaa vya michezo
mwit8Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara kushoto, akimkabidhi msaada wa madawati kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mbondole, Selemanai Mkombozi jana.
mwit9Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara, akikagua ujenzi wa majengo ya Shule ya Msingi Magole jana.
Post a Comment