Friday, July 29, 2016

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATUMISHI TEMEKE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Temeke kwenye ukumbi wa Halmashauri hiyo jijiniDar es salam Julai 28, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
WA2Baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Temeke wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Halmashauri hiyo jijini Dar es salaam Julai 28, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
WA3Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na viongozi wa mkoa wa Dar es salaam baada ya kuzungumza na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Temeke kwenye ukumbi wa Halmashauri hiyo jijini Dar es slaam Julai 28, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
WA4Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na viongozi wa mkoa wa Dar es salaam baada ya kuzungumza na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Temeke kwenye ukumbi wa Halmashauri hiyo jijini Dar es slaam Julai 28, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

RAIS SAMIA ASHIRIKI NA KUTUNUKU TUZO ZA WASANII WA KOMEDI TANZANIA 2025

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki kama mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasa...