Sunday, July 10, 2016

BILIONI MOJA ZACHANGWA HARAMBEE ILIYOANDALIWA NA MBUNGE WA ILEMELA -ANGELINE MABULA

Naibu Waziri wa Fedha, Asyatu Kijaji ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya harambee ya uchangiaji miundombinu jimbo la Ilemela akihutubia wakati wa uzinduzi wa hafla hiyo.

Mbunge wa Ilemela na Naibu Waziri wa Ardhi,  Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angeline Mabula akiwa kwenye hafla ya harambee ya uchangiaji miundombinu jimbo la Ilemela akifuatilia mgeni rasmi wakati akihutubia kwenye uzinduzi wa hafla hiyo.

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Vianne Mongella akiwa na Mbunge wa Ilemela, Angeline Mabula na Mgeni rasmi wa Shughuli hiyo ambapo zilikusanywa liasi cha Shilingi bilioni 1 katika lengo lililokusudiwa la Shilingi Bilioni 2.5.

Post a Comment