
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Tulia Akson akiongoza Mbio za Tulia Marathon KM 5 zilizofanyika leo asubuhi kuanzia Bungeni Mpaka Nyerere Square zikishirikishwa wabunge mbalimbali wakuu wa wilaya na vijana kama juhudi za kuunga mkono Juhudi za Rais John Pombe Magufuli katika kuwaletea wananchi maendeleo nchini kushoto ni Anthony Mtaka Rais wa Chama cha Riadha Nchini RT.
Baada ya mbio hizo walikwenda kutoa msaada wa vitu mbalimbali katika kituo cha Watoto Yatima kiitwacho kijiji cha Matumaini kilichopo nje kidogo ya mji wa Dodoma.Wakati wa kutoa msaada huo Dkt Tulia alisema kuwa ni vvema kila Mkoa ukawa na vikundi mbalimbali kikiwemo cha Wazalendo wakafanya shughuli za Kijamii kusaidia makundi mbalimbali


Vijana wakipasha mara baada ya kufika kwenye viwanja vya Nyerere Squre.
No comments:
Post a Comment