Wednesday, July 20, 2016

MH. LUHAGA MPINA ATEMBELEA KIWANDA CHA PEPSI

Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh.Luhaga Mpina (Kulia) akifurahia Jambo na Meneja Mahusiano wa kiwanda cha Pepsi bw,Alexander Nyirenda alipotembelea kiwanda hicho kilichopo Kiwalani Temeke Jijini Dar es salaaam mapema hii leo. 

Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Raisi Muungano na Mazingira Mh.Luhaga Mpina akiwa ameambatana na Maafisa wa Mazingira kutoka Baraza la Usimamizi wa Mazingira Nchini( NEMC)akikagua mfereji unaotiririsha maji machafu kutoka katika kiwanda hicho na kusababisha madhara kwa wanainchi wanaozunguka eneo hilo. 
Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Raisi Muungano na Mazingira Mh,Luhaga Mpina akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kufanya ziara katika kiwanda cha Pepsi kilichopo Kiwalani,Temeke jijini dar es salaam

Post a Comment