Monday, July 04, 2016

MAZISHI YA OMARY MASOUD ALIYEKUWA MFANYAKAZI WA KITUO CHA LUNINGA CHA AZAM TV


 Baadhi ya wafanyakazi wa Azam Media wakiwasili katika Msikiti wa Maamur uliopo Upanga Jijini Dar es Salaam ambapo mwili wa marehemu Omary Masoud uliswaliwa. Marehemu Omary alifariki dunia Julai 2 kwa ajali ya gari katika eneo la Boko. (Picha na Francis Dande)
 Waombolezaji wakiwa Msikitini Upanga.
Mwili wa marehemu ukitolewa Msikitini kwa ajili ya maziko.
Baadhi ya wafanyakazi wa Azam TV wakishirikiana na ndugu wa marehemu kubeba mwili wa marehemu.
Mwili wa marehemu ukiingizwa kwenye gari kwa ajili ya kupelekwa nyumbani kwao Boko. 
Mwili wa marehemu ukiombewa dua. 
Waombolezaji wakiomba dua kwa ajili ya marehemu.
Ndugu na jamaa wakiwa nyumbani kwa marehemu. 
Baadhi ya Waandishi wa Habari pamoja na ndugu wa marehemu. 
Mwili wa marehemu ukipelekwa makaburini. 
 Ndugu wa marehemu wakiusubiri mwili kuwasili makaburini.
 Kaka wa marehemu Salehe Masoud (wapili kulia) akiwa na baadhi ya ndugu walioshiriki maziko.
Mwili wa marehemu ukishushwa kaburini. 
Mwili wa marehemu ukiingizwa kaburini. 
Kaka wa marehemu Salehe Masoud (katikati) akishiriki maziko ya mdogo wake. 
 Baadhi ya waombolezaji wakiwa na huzuni wakati mwili ukishushwa kaburini.
 Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mohamed Mpinga akiweka udongo katika kaburi la marehemu Omary.
Ndugu wa marehemu wakiweka udongo kwenye kaburi. 
Mkurugenzi wa Azam Media, Abubakar Bakhresa (wakwanza kulia) akifuatiwa na Azizi Salumu,Kamanda Mpinga na Awadhi Salum.
 Ndugu wakimuimbea dua marehemu baada ya maziko.
 Kamanda Mpinga (kushoto) akipeana mkono na Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama walipokutana katika msiba wa Omary.Katikati ni kaka wa marehemu.

Kamanda Mpinga akimpa pole kaka wa marehemu, Salehe Masoud. 
Kaka wa marehemu Salehe Masoud (katikati) akipewa pole na Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama.
Post a Comment