Friday, July 15, 2016

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZUNGUMZA NA MADAKTARI WA KICHINA LUANGWA

indexAWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na madaktari wa Kichina ambao wako wilayani Ruangwa kwa ajili ya kupima na kuwatibu wananchi bure. Mazungumzo yao yalifanyika kwenye Ikulu ndogo ya wilaya ya Ruangwa  Julai 15, 2016 . Kushoto kwake ni  Naibu Balozi wa China nchini, Gou Haodong na kulia kwa Waziri Mkuu ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi.  Wapili kushoto kwa Waziri Mkuu, ni Katibu Mkuu wa Chama cha Urafiki kati ya China na Tanzania(Tanzania Chinese Associanion), Joseph Kahama.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu )

No comments:

RAIS SAMIA ASHIRIKI NA KUTUNUKU TUZO ZA WASANII WA KOMEDI TANZANIA 2025

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki kama mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasa...