Friday, July 15, 2016

WAZIRI MWIGULU NCHEMBA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI MDOGO WA MAREKANI NCHINI NA UJUMBE WAKE, JIJINI DAR ES SALAAM LEO

MWG1
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu M.L Nchemba (kulia) akimsalimia Naibu Katibu Msaidizi wa Idara ya Inayoshughulikia Idadi ya Watu, Wakimbizi na Uhamiaji ya nchini Marekani, Catherine Wiesner wakati ujumbe huo ambao uliongozwa na Balozi Mdogo wa Marekani nchini, Virginia Blaser (watatu kushoto). Kikao hicho kilichofanya katika Ukumbi mdogo wa Wizara, jijini Dar es Salaam kilijadili ushirikiano katika masuala ya kuhudumia wakimbizi nchini. Wapili kushoto ni Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa-Geneva, Pamela Hamamoto.  Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
MWG2Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu M.L Nchemba (kulia) akizungumza na Balozi Mdogo wa Marekani nchini, Virginia Blaser (wa pili kulia) pamoja na ujumbe wake katika kikao kilichofanya katika Ukumbi wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam ambacho kilijadili ushirikiano katika masuala ya kuhudumia wakimbizi nchini. Watatu kulia ni Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa-Geneva, Pamela Hamamoto na anayefuata ni Naibu Katibu Msaidizi wa Idara ya Inayoshughulikia Idadi ya Watu, Wakimbizi na Uhamiaji ya nchini Marekani, Catherine Wiesner. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
MWG3Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu M.L Nchemba (kulia) akiandika maelezo ya Balozi Mdogo wa Marekani nchini, Virginia Blaser (katikati) katika kikao cha kujadili ushirikiano katika masuala ya kuhudumia wakimbizi nchini. Kushoto ni Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa-Geneva, Pamela Hamamoto. Kikao hicho kilifanyika katika ukumbi mdogo wa Wizara, jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
MWG4Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu M.L Nchemba akizungumza na Balozi Mdogo wa Marekani nchini, Virginia Blaser (wa tatu kushoto) pamoja na ujumbe wake katika kikao kilichofanya katika Ukumbi mdogo wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam ambacho kilijadili ushirikiano katika masuala ya kuhudumia wakimbizi nchini. Wapili kushoto ni Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa-Geneva, Pamela Hamamoto na anayefuata na kushoto ni Naibu Katibu Msaidizi wa Idara ya Inayoshughulikia Idadi ya Watu, Wakimbizi na Uhamiaji ya nchini Marekani, Catherine Wiesner. Watatu kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira, wapili kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Wakimbizi, Harrison Mseke, na anayefuata ni Katibu wa Waziri, Nelson Kaminyoge. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
MWG5Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu M.L Nchemba (wapili kushoto), Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira (watatu kulia), Mkurugenzi wa Idara ya Wakimbizi, Harrison Mseke (kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi Mdogo wa Marekani nchini, Virginia Blaser (wapili kulia) pamoja na ujumbe wake mara baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyojadili ushirikiano katika masuala ya kuhudumia wakimbizi nchini. Kikao hicho kilifanyika wizarani, jijini Dar es Salaam leo. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

No comments: