Friday, July 29, 2016

MKURUGENZI WA JIJI LA ARUSHA AAHIDI KUKOMESHA UFANYAJI KAZI WA MAZOEA


Mkurugenzi wa halmashauri ya Jiji la Arusha(CD), Athuman Juma akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo juu ya mipango kamambe ya kukomesha wavamizi wa maeneo ya wazi ambayo yametambuliwa kuwa ni viwanja 52.
Mkurugenzi wa halmashauri ya Jiji la Arusha(CD),Athuman Juma akizungumza namna jinsi walivyojipana kukusanya mapato kwanjia za kieletroniki na mashine za EFD’s kuhakikisha mapato hayapotei.

Mwandishi wa habari wa gazeti la Mtanzania,Eliya Mbonea akiuliza swali.

Mkurugenzi wa halmashauri ya Jiji la Arusha(CD),Athuman Juma akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo


Waandishi wa habari wakiwa makini kuchukua taarifa hiyo

Waandishi wa habari wakiwa makini kuchukua taarifa hiyo

Afisa Habari Mwandamizi wa Jiji la Arusha,Nteghenjwa Hoseah akizungumza jambo baada ya mkutano huo.
Post a Comment