Monday, October 12, 2015

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA APOKEA TAARIFA YA UJENZI WA WODI YA WATOTO – SUMBAWANGA

2

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumzana baadhi ya wagonjwa wakati alipotembelea hospitali Teule ya Wilaya ya Sumbawanga ya Doctor Atiman wakati alipkagua ujenzi wa wodi ya watoto katika hospitali hiyo Oktoba 11, 2015.
1
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Madaktari, wauguzi na viongozi wa Hospitali Teule ya Wilaya ya Sumbawanga ya Doctor  Atiman  wakati alipokagua ujenzi wa wodi ya watoto katika hospitali hiyo Oktoba 11, 2015.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

RAIS SAMIA AZINDUA HUDUMA YA SARATANI KCMC, AAHIDI USHIRIKIANO KUSOGEZA HUDUMA KARIBU NA WANANCHI

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Jengo la Tiba Mionzi (Radiothera...