Thursday, October 22, 2015

RAIS KIKWETE AWAAPISHA MSAJILI WA MAHAKAMA YA RUFAA NA MSAJILI WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA.

03
Waheshimiwa John Lugalema Kahyoza na Bi. Katarina Tengia Revocati wakisubiri kuapishwa na Rais Jakaya Kikwete  Ikulu jijini Dar es Salaam Oktoba 22, 2015.
01
Mhe. John Lugalema Kahyoza akila kiapo mbele ya Rais Jakaya kikwete baada ya kuteuliwa kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufaa Ikulu jijini Dar es Salaam Oktoba 22, 2015 awali mhe. Kahyoza alikuwa Msajili Mahakama Kuu ya Tanzania.
02
Mhe. Katarina Tengia Revocati akila kiapo mbele ya Rais Jakaya kikwete baada ya kuteuliwa kuwa Msajili Mkuu wa Mahakama Ikulu jijini Dar es Salaam, awali Mhe. Katarina alikuwa Msajili wa Mahakama ya rufani.
  04
Viongozi na Wageni mbalimbali wakisubiri tukio la kuapishwa kwa waheshimiwa John Lugalema Kahyoza na Bi. Katarina Tengia Revocati  Ikulu jijini Dar es Salaam.
05
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na majaji wanawake waliohudhuria sherehe za kuapishwa wa heshimiwa John Lugalema Kahyoza na Bi. Katarina Tengia Revocati  Ikulu jijini Dar es Salaam Oktoba 22, 2015.
Picha zote na Eliphace Marwa – Maelezo.
Post a Comment