Monday, October 26, 2015

HAFLA YA UTOAJI TUZO ZA NANI KAMA MAMA NA BALOZI WA HESHIMA WA LUGHA YA KISWAHILI AFRIKA 2015.

Mkurugenzi wa Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (TATAKI), Dkt Ernesta Mosha akizungumza wakati wa hafla ya utoaji Tuzo ya heshima ya Balozi wa kiswahili Afrika  jijini Dar es Salaam.
????????????????????????????????????
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Hermas Mwansoko akizungumza wakati wa hafla ya heshima ya Balozi wa kiswahili Afrika  jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema (kushoto) akineonesha Tuzo aliyokabidhiwa kwa niaba ya Mke wa Rais
Mama Salma Kikwete. Tuzo hiyo 
ya Balozi wa heshima wa lugha ya kiswahili Afrika 2015 ni kutambua mchango alioutoa Mama Salma Kikwete katika kuendeleza lugha
ya Kiswahili ndani na nje ya Afrika. 
 Wageni waalikwa .
Wageni waalikwa .
Post a Comment