PINDA AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO LA MAKAZI NA BIASHARA LA VICTORIA PLACE JIJINI DAR ES SLAAM

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua pazia kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengoa makazi na biashara la Cictoria Place linalojengwa na NHC katika eneo la Victoria jijini Dar es salam  Octoba 20,2015. Kushoto ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na  Maendeleo ya Makazi, Angela kairuki na kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Kairuki (wapili kushoto)  na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Nyumba (NHC), Nehemia Mchechu baada ya kuweka jiwe la Msingi la Jengo la makazi na Biashara la NHC Place linalojengwa katika eneo la Victoria jijini Dar es slaam.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wafanyakazi wa Shirika la Taifa la Nyumba (NHC) wakati alipowasili kwenye eneo la ujenzi wa jengo la makazi na biashara la Victoria Place linalojengwa na NHC katika  eneo la Victoria jijini Dar es salaam  kuweka jiwe la msingi la ujenzi huo Oktoba 20,2015.Kulia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Kairuki na kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu.
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Nyumba  (NHC), Nehemia Mchechu (kushoto)  akisoma taarifa ya ujenzi wa jengo la makazi na biashara la Victoria Place linalojengwa na NHC katika eneo la Victoria jijini Dar es salaam  kabla ya Waziri Mkuu, Mizengo Pida kuweka jiwe la Msingi la ujenzi wa jengo hilo, Oktoba 20,2015.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Comments