Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa Ufunguzi wa Kituo cha michezo cha Jakaya M.Kikwete Youth park huko Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi kituo cha michezo cha Jakaya M.Kikwete Youth park huko Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam.Kituo hicho kimejengwa kwa msaada wa klabu ya michezo ya Sunderland ya Uingereza kwa kushirikiana na kampuni ya kufua umeme ya Symbion.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akicheza mpira na baadhi ya watoto wanaopata mafunzo ya michezo katika kituo hicho kinachofunza mpira wa miguu,kikapu na volleyball ya ufukweni.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amembeba mtoto wakati wa Sherehe za ufunguzi wa kituo cha michezo cha Jakaya M.Kikwete Youth park huko kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto wanaopata mafunzo katika kituo kipya cha michezo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Symbion Bwana Paul Hinks baada ya sherehe za ufunguzi wa kituo.
(Picha zote na Freddy Maro)
Comments