Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Shirika la Nyumba la Taifa, James Rhombo akizungumza na wafanyakazi (hawapo pichani) wakati akifungua kikao cha kawaida cha wafanyakazi wa NHC mkoa wa Dar es Salaam kwenye ukumbi wa Makao Makuu ya Shirika hilo (NHC PLACE) jijini Dar es Salaam leo. Kikao hicho kiliandaliwa na TAMICO.
Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi (TAMICO) Shirika la Nyumba la Taifa, Lilian Reuben akizungumza na wafanyakazi (hawapo pichani) wakati wa ufunguzi wa kikao cha kawaida cha wafanyakazi wa NHC mkoa wa Dar es Salaam kwenye ukumbi wa Makao Makuu ya Shirika hilo (NHC PLACE) jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Shirika la Nyumba la Taifa, James Rhombo akizungumza na wafanyakazi wakati akifungua kikao cha kawaida cha wafanyakazi wa NHC mkoa wa Dar es Salaam kwenye ukumbi wa Makao Makuu ya Shirika hilo jijini Dar es Salaam leo. Miongoni mwa masuala makuu yaliyojiri ni pamoja na utambulisho wa uongozi mpya TAMICO 2015, Mada kutoka kwa African Assurance, NHC Saccos na maelezo kutoka Kurugenzi ya Mauzo na Masoko kuhusu namna bora ya kuuza nyumba na kisha maandalizi ya uchaguzi wa Mwenyekiti wa Vijana na Kamati ya wanawake.
Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakifuatilia mada mbalimbali katika kikao cha kawaida cha wafanyakazi wa NHC mkoa wa Dar es Salaam kwenye ukumbi wa Makao Makuu ya Shirika hilo jijini Dar es Salaam leo.

Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakifuatilia hotuba ya ufunguzi ya Mkurugenzi wa Rasilimali Watu, James Rhombo katika kikao cha kawaida cha wafanyakazi wa NHC mkoa wa Dar es Salaam kwenye ukumbi wa Makao Makuu ya Shirika hilo jijini Dar es Salaam leo.
Viongozi wa Chama cha Wafanyakazi NHC (TAMICO) wakiwa wanawasili katika eneo kulikofanyika mkutano huo wakiongozwa na Mwenyekiti wao, Lilian Reuben mwenye koti jeusi.
Mmoja wa wawakilishi wa Kampuni ya African Assurance wakiwasilisha mada kuhusiana na namna kampuni yao ya Bima inavyofanya kazi huku akiwashawishi wafanyakazi kujiunga na bima ya kampuni hiyo.
Mmoja wa wawakilishi wa Kampuni ya African Assurance wakiwasilisha mada kuhusiana na namna kampuni yao ya Bima inavyofanya kazi huku akiwashawishi wafanyakazi kujiunga na bima ya kampuni hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakifuatilia mada mbalimbali katika kikao cha kawaida cha wafanyakazi wa NHC mkoa wa Dar es Salaam kwenye ukumbi wa Makao Makuu ya Shirika hilo jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakifuatilia mada mbalimbali katika kikao cha kawaida cha wafanyakazi wa NHC mkoa wa Dar es Salaam kwenye ukumbi wa Makao Makuu ya Shirika hilo jijini Dar es Salaam leo.
Elias Msese akitoa maoni yake katika mkutano huo.
Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi (TAMICO) Shirika la Nyumba la Taifa, Lilian Reuben akizungumza na wafanyakazi (hawapo pichani) wakati wa ufunguzi wa kikao cha kawaida cha wafanyakazi wa NHC mkoa wa Dar es Salaam kwenye ukumbi wa Makao Makuu ya Shirika hilo (NHC PLACE) jijini Dar es Salaam leo.
Elisante Ulomi akitoa maoni yake katika mkutano huo.

Comments