WAZIRI MKUU PINDA AMEVUTIWA NA KASI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA NHC

Waziri Mkuu Pinda akifunua pazia kuashiria  uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa Jengo la Victoria Place Dar es Salaam jana. Wanaoshuhudia tukio hilo kutoka kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la  Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Jasmin.
 Sehemu ya mradi wa Jengo la Victoria Place jijini Dar es salaam linavyoonekana sasa.
 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mizengo Kayanza Peter Pinda akilakiwa na  Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la  Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu alipowasili  katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa Victoria Place jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Hamad Abdallah, Mkurugenzi wa Usimamizi wa Miliki wa Shirika la Nyumba la Taifa  katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa Victoria Place jijini Dar es salaam leo.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Susan Omari, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii wa Shirika la Nyumba la Taifa  wakati akiwasili katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa Victoria Place jijini Dar es salaam leo.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Tuntufye Mwambusi, Kaimu Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa Shirika la Nyumba la Taifa katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa Victoria Place jijini Dar es salaam leo.
Hamad Abdallah, Mkurugenzi wa Usimamizi wa Miliki wa Shirika la Nyumba la Taifa na James Rhombo Mkurugenzi wa Rasilimaliwatu wa NHC katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa Victoria Place jijini Dar es salaam leo.
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la  Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu akiongea katika hafla hiyo.
 Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Jasmin Kairuki wakati wa hafla hiyo.
Waziri Mkuu Pinda akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la  Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu
Waziri Mkuu Pinda akitoa hotuba yake katika hafla hiyo ambapo pamoja na mambo mengine alieleza kuvutiwa na kasi ya utekelezaji miradi ya Shirika.
Waziri Mkuu Pinda akipata maelezo ya  mradi wa Jengo la Victoria Place jijini Dar es salaam leo, kutoka kwa Mkurugenzi wa Ubunifu wa NHC, Issack Peter.
 Waziri Mkuu Pinda akipata maelezo ya  mradi wa Jengo la Victoria Place jijini Dar es salaam leo, kutoka kwa Mkurugenzi wa Ubunifu wa NHC, Issack Peter.
 Picha ya Pamoja na Waziri Mkuu Pinda 
 Picha ya Pamoja na Waziri Mkuu Pinda 
 Picha ya Pamoja na Waziri Mkuu Pinda 
 Picha ya Pamoja na Waziri Mkuu Pinda 
Waziri Mkuu Pinda akibadilishana mawazo na Ephraim Kibonde wa programu ya Maisha ni Nyumba ya NHC.
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Mchechu akibadilishana mawazo na Waziri Mkuu Mizengo Pinda muda mfupi kabla ya kuondoka eneo la tukio. 
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Mchechu akibadilishana mawazo na Waziri Mkuu Mizengo Pinda muda mfupi kabla ya kuondoka eneo la tukio. 

Comments