Monday, October 12, 2015

MAKAMU WA RAIS MHE. DKT. BILAL AKUTANA NA BALOZI WA UINGEREZA HAPA NCHINI

03

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe. Dianna Melrose wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Jijini Dar es salaam Octoba 12,2015.
04
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal katikati, akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe. Dianna Melrose na ujumbe aliofuatana nao wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Jijini Dar es salaam Octoba 12,2015.  
   (Picha na OMR)

No comments:

DKT. KIJAJI AUNGANA NA RAIS SAMIA KUPANDA MITI

Na Mwandishi wetu, Zanzibar Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, leo tarehe 27 Januari 2027, ameungana na Rais wa Jamhuri...