HAIRUHUSIWI KUKAA MITA 200 - MAHAKAMA KUU Posted by Vempin Media Tanzania on October 23, 2015 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa uamuzi wa mvutano wa kukaa mita 200 kutoka katika kituo cha kupigia kura na kusema kuwa haruhusiwi mtu yeyote kukaa hata kwenye umbali zaidi ya mita hizo. SOURCE:EASTAFRICATV Comments
Comments