Thursday, October 15, 2015

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU DKT KIGODA

unnamedb
Wapambe wa Bunge wakiuingiza mwili wa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Abdallah Kigoda kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam kwa heshima za mwisho Oktoba 15, 2015.
(Picha n Ofisi ya Waziri Mkuu)
unnamedh
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitoa heshima za mwisho kwa lieyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Abdallah Kigoda kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es slaam Oktoba 15, 2015.
unnamedkk
Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi akiteta na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri Mkuu Mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim kabla ya kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Abdllah Kigoda  kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salam Oktoba 15, 2015.
Post a Comment