Sunday, October 25, 2015

WENGI WAJITOKEZA KUPIGA KURA KWA AMANI NA UTULIVU VITUO VYA NZASA,KENTONI, USTAWI WA JAMII NA MPAKANI ‘A’ KIJITONYAMA JIJINI DAR ES SALAAM

Mmoja wa wakazi wa Kijitonyama mpakani akipiga Kura yake
KITUO CHA KUPIGIA KURA NZASA
Baadhi ya wakazi wa Mtaa wa Nzasa wakiwa wanangoja kupiga Kura
Bado wakazi wa Nzasa wanangoja kupiga Kura
Baadhi ya wakazi wakihakiki majina yao ili kujua wanatakiwa wakae sehemu gani kabla ya kupiga kura
Ulinzi pia ukiwa umeimarishwa hali ni Shwari
Leo shughuli zimesimama kupisha uchaguzi mkuu

No comments:

Rais Samia Aongoza Wito wa Amani na Upendo kuelekea Uchaguzi Mkuu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na wageni waalikwa waliohudh...