Friday, October 16, 2015

MGOMBEA WA UBUNGE JIMBO LA LUDEWA (CCM),DEO FILIKUNJOMBE AFARIKI DUNIA
HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE:
Aliye kuwa Mbunge wa jimbo la Ludewa na Mgombea wa jimbo hilo kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM, Deo Filikunjombe (Pichani) amefariki dunia wakati akielekea kwenye jimbo lake akitokea jijini Dar es Salaam akiwa kwenye Chopa iliyoanguka jana katika hifadhi ya wanyama ya Selous iliyopo mkoa wa Morogoro. 

Jeshi la Polisi limethibitisha kutokea kwa ajali hiyo kuwa hakuna mtu aliyepona katika ajali hiyo. SOURCE:Eastafricaotv
Post a Comment