Thursday, October 15, 2015

RAIS KIKWETE AFUNGUA TAWI LA BENKI KUU DODOMA

unnamedRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kufungua rasmi tawi la Benki kuu ya Tanzania Dodoma Oktoba 15,2015.Kushoto ni Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum na Gavana wa Benki Kuu Profesa Benno Ndulu.
(Picha na Freddy Maro)
Post a Comment