Wednesday, October 14, 2015

LOWASSA AFANYA KAMPENI MKOANI GEITA
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiwahutubia wananchi wa Mji wa Geita, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Magereza, Mkoani Geita jana Oktoba 13, 2015.
Post a Comment