MAHAFALI YA 14 YA KIDATO CHA NNE MKOLANI SEKONDARI JIJINI MWANZA

Mkuu wa Shule ya Sekondari Mkolani iliyopo Jijini Mwanza Mwl, Asensio Mathias akizungumza katika Mahafali ya 14 ya Kidato cha Nne katika shule hiyo yaliyofantika jana Octoba16,2015 katika Ukumbi wa Shule hiyo.
Mgeni Rasmi katika Mahafali ya 14 ya kidato cha Nne Mkolani Sekondari ya Jijini Mwanza Ndg.Bituro Kazeri  ambae ni Afisa Habari wa Taasisi ya Sayansi ya Jamii TASAJA akijiandaa kuwakabidhi vyeti wahitimu wa shule hiyo katika Mahafali yaliyofanyika jana shuleni hapo
Wahitimu wa Kidato cha Nne wakipokea Vyeti katika Mahafali ya 14 ya Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari Mkolani iliyopo Jijini Mwanza yaliyofanyika jana shuleni hapo
Mahafali ya 14 ya kidato cha nne Mkolani Sekondari Jijini Mwanza
Wazazi/Walezi
Mwonekano ndani ya Ukumbi
Mshereheshaji Mwl.Isaack Wakuganda
Kumbukumbu
Binagi Media Group, Kwa Pamoja Tuijuze Jamii

Comments