MAHAFALI YA NANE YA SHULE YA AWALI NA MSINGI RIGHTWAY, MBEZI BEACH YAFANA

Mgeni Mashuhuri katika mahafali ya nane ya shule ya awali na Msingi ya Rightway, Mbezi Beach Makonde ya jijini Dar es Salaam, Naseeb Abdul aka Diamond Platinums akiwasili katika viwanja vya shule hiyo jana asubuhi  na kukukaribishwa na Meneja wa shule hiyo ya Rightway, Moses Kyando. Shule hiyo ilifanya mahafali hayo ya nane kwa shule ya msingi na ya 11 kwa shule ya awali.
 Mgeni Mashuhuri katika mahafali ya nane ya shule ya awali na Msingi ya Rightway, Mbezi Beach Makonde ya jijini Dar es Salaam, Naseeb Abdul aka Diamond Platinums akisaini kitabu cha wageni katika ofisi za shule hiyo jana asubuhi.
Mgeni Mashuhuri katika mahafali ya nane ya shule ya awali na Msingi ya Rightway, Mbezi Beach Makonde ya Jijini Dar es Salaam, Naseeb Abdul aka Diamond Platinums akifuatilia matukio katika shughuli hiyo. Kushoto kwake ni Meneja wa shule hiyo Moses Kyando na kulia kwake ni Mkurugenzi wa shule hiyo, Mercy Mchechu. Shule hiyo ilifanya mahafali hayo ya nane kwa shule ya msingi na ya 11 kwa shule ya awali.

Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani cha Shirika la Nyumba la Taifa, Fatuma Chillo akisalimiana na wageni wa meza kuu ambapo pia Mgeni Mashuhuri katika mahafali ya nane ya shule ya awali na Msingi ya Rightway, Mbezi Beach Makonde ya jijini Dar es Salaam, Naseeb Abdul aka Diamond Platinums akiwa anashuhudia. Shule hiyo ilifanya mahafali hayo ya nane kwa shule ya msingi na ya 11 kwa shule ya awali.
Mgeni Mashuhuri katika mahafali ya nane ya shule ya awali na Msingi ya Rightway, Mbezi Beach Makonde ya jijini Dar es Salaam, Naseeb Abdul aka Diamond Platinumsakijadiliana jambo na Mkurugenzi wa shule hiyo, Mercy Mchechu. Shule hiyo ilifanya mahafali hayo ya nane kwa shule ya msingi na ya 11 kwa shule ya awali.
Mkuu wa Shule hiyo akizungumza katika mahafali ya nane ya shule ya awali na Msingi ya Rightway, Mbezi Beach Makonde ya jijini Dar es Salaam. Shule hiyo ilifanya mahafali hayo ya nane kwa shule ya msingi na ya 11 kwa shule ya awali.
Wanafunzi wa shule hiyo wakiimba kwenye mahafali ya nane ya shule ya awali na Msingi ya Rightway, Mbezi Beach Makonde ya jijini Dar es Salaam. Shule hiyo ilifanya mahafali hayo ya nane kwa shule ya msingi na ya 11 kwa shule ya awali.
 Wanafunzi wa shule hiyo wakiimba kwenye mahafali ya nane ya shule ya awali na Msingi ya Rightway, Mbezi Beach Makonde ya jijini Dar es Salaam. Shule hiyo ilifanya mahafali hayo ya nane kwa shule ya msingi na ya 11 kwa shule ya awali.
Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani cha Shirika la Nyumba la Taifa, Fatuma Chillo akisalimiana na wageni wa meza kuu ambapo pia mgeni Mgeni Mashuhuri katika mahafali ya nane ya shule ya awali na Msingi ya Rightway, Mbezi Beach Makonde ya jijini Dar es Salaam, Naseeb Abdul aka Diamond Platinums akiwa anashuhudia. Shule hiyo ilifanya mahafali hayo ya nane kwa shule ya msingi na ya 11 kwa shule ya awali.
 Mgeni Mashuhuri katika mahafali ya nane ya shule ya awali na Msingi ya Rightway, Mbezi Beach Makonde ya jijini Dar es Salaam, Naseeb Abdul aka Diamond Platinums akisalimiana na wanafunzi (hawapo pichani) kwenye mahafali hayo. Shule hiyo ilifanya mahafali hayo ya nane kwa shule ya msingi na ya 11 kwa shule ya awali.
Mgeni Mashuhuri katika mahafali ya nane ya shule ya awali na Msingi ya Rightway, Mbezi Beach Makonde ya jijini Dar es Salaam, Naseeb Abdul aka Diamond Platinums akimpa mkono kumpongeza mwanafunzi wa shule hiyo aliyekuwa akighani mashairi yaliyomgusa Diamond.
Wanafunzi wa shule hiyo wakiimba kwenye mahafali ya nane ya shule ya awali na Msingi ya Rightway, Mbezi Beach Makonde ya jijini Dar es Salaam. Shule hiyo ilifanya mahafali hayo ya nane kwa shule ya msingi na ya 11 kwa shule ya awali.

Comments