![]() |
| Wahitimu wakiwa na nyuso za tafakari kwenye mahafali ya kwanza ya Shule Adili High School iliyopo Moshono,Jijini Arusha. |
![]() |
| Wanafunzi hao wakionesha igizo linalopiga vita ukeketaji kutokana na madhara yake kwa wanawake jambo linaloweza kusababisha ulemavu wa kudumu na vifo. |
![]() |
| Baadhi ya wafanyakazi wa Shule ya Sekondari Adili High School . |
![]() |
| Mwanafunzi Nolam Mike akipokea cheti cha kuhitimu masomo yake kutoka kwa mgeni rasmi. |
![]() |
| Wafanyakazi wakiburudika mbele ya wazazi na mgeni rasmi wakifurahia wahitimu wa kwanza wa kidato cha Nne. |








No comments:
Post a Comment