MAPOKEZI YA DK.SHEIN UWANJA WA NDEGE

 x2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwa na Mkewe Mama Mwanamwema Shein akiwapungia mkono wananchi wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo akitokea Kisiwani Pemba kwa ajili kufunga Kampeni za CCM jana.
x3

x4
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwa na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakiwasalimia wananchi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM waliofika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo kuwapokea Viongozi hao wakitokea Kisiwani Pemba kwa ajili kufunga Kampeni za CCM jana.
x1
Baadhi ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi waliofika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid AmaniKarume wakicheza wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipowasili Uwanjani hapo akitokea Kisiwani Pemba kwa ajili kufunga Kampeni za CCM jana.
[Picha na Ikulu.]

Comments