Kutangazwa rasmi mshindi wa urais 2015 kutokaa ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar Es Salaam;
Washiriki wa mbio za urais wa vyama vya siasa pamoja na viongozi mbalimbali katika hafla za kutangazwa mshindi wa urais 2015;Hafla
MKurugenzi wa NEC Ramadhan Kailima akitoa tathmini ya mchakato wa uchaguzi mkuu mwaka 2015;https://youtu.be/Lg8d2m1YwgE
STAR TV: Mwenyekiti wa NEC Jaji Damian Lubuva akitoa taarifa za matokeo ya uchaguzi 2015 katika hafla ya kutangazwa mshindi wa urais 2015; https://youtu.be/b-RaifbfLy0
DR.John Pombe Magufuli na Samia Suluhu wa CCM wakipokea chati cha ushindi wa urais na makamu wa urais wa Tanzania 2015; https://youtu.be/i15KeuGkv3Y
Anna Mghwira -ACT-Wazalendo aeleza matarajio ya Watanzania kwa uongozi wa Dr.Magufuli ikiwemo katiba ya mpya, usawa, uchumi na kudumisha amani ya nchi huku akimkabidhi ilani ya chama chake ;https://youtu.be/pJet8rttF8U
Viongozi mbalimbali wakishiriki kupiga picha za kumbukumbu wakati wa hafla ya kukabidhi washindi wa wagombea urais vyeti; https://youtu.be/nGT8lWgs504
Comments