Monday, October 05, 2015

KIMLOLA A. KIMLOLA "NELLY AFUNGA NDOA NA SCHOLASTICA L. LAZARO

Bwana na Bibi Kimlola wakiingia ukumbini yaani ilikuwa ni Furaha kwa kwenda mbele  
Bwana na Bibi Kimlola wakiwasalimia ndugu, jamaa na marafiki waliofika kwenye ukumbi huo wakati wa sherehe yaoiliyofanyika jana Jumapili Oktoba 04, 2015
Bwana na Bibi Kimlola wakiwa kwenye picha ya pamoja na Kamati ya maandalizi ya Harusi hiyo.

No comments:

NAIBU WAZIRI WA FEDHA AMWAKILISHA WAZIRI WA FEDHA KATIKA KONGAMANO LA 16 LA MWAKA LA WATAALAM WA UNUNUZI NA UGAVI – ARUSHA

Naibu Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Mhandisi Mshamu Ali Munde, amemwakilisha Waziri wa Fedha katika ufunguzi wa Kongamano la 16 la Mwaka la Wa...