Friday, September 04, 2015

RAIS KIKWETE AKUTANA NA SPIKA NA NAIBU SPIKA WA BUNGE LA BURUNDI IKULU

1x
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na spika wa Bunge la Burundi Mhe.Paschal Nyabenda(kushoto) na Naibu Spika wa Bunge la Burundi Mhe.Agathon Rwasa muda mfupi baada kufanya mazungumzo ikulu jijini Dar es Salam leo mchana.Spika huyo na ujumbe wake walimtembelea Rais Kikwete Septemba 3, 2015.
(Picha na Freddy Maro).
2x
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Spika wa Bunge la Burundi Mhe. Paschal Nyabenda, naibu Spika wa Bunge hilo Agathon Rwasa pamoja wajumbe wengine ikulu jijini Dar es Salaam jana mchana.
3x
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na spika wa Bunge la Burundi Mhe.Paschal Nyabenda (kushoto) na Naibu Spika wa Bunge la Burundi Mhe. Agathon Rwasa ikulu jijini Dar es Salam jana mchana. Spika huyo na ujumbe wake walimtembelea Rais Kikwete.

No comments: