Monday, September 14, 2015

MAGUFULI AFANYA MKUTANO WA KAMPENI BUKENE,NZEGA JIONI KUUNGURUMA TABORA MJINI

  Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Nzega mapema leo mchana katika uwanja wa Barafu,kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni,Dkt Magufuli anatarajia kuunguruma jioni ya leo mjini Tabora.
 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Nzega mapema leo mchana katika uwanja wa Barafu,kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni,Dkt Magufuli anatarajia kuunguruma jioni ya leo mjini Tabora.
 Wakazi wa Nzega mkoani Tabora wakimsikiliza mgombea urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Magufuli alipokuwa akiwahutubia mchana wa leo katika uwanja wa Barafu.
 Wakazi wa Nzega mkoani Tabora wakimsikiliza mgombea urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Magufuli alipokuwa akiwahutubia mchana wa leo katika uwanja wa Barafu.
 Mgombea urais wa CCM Dk.John Magufuli akisalimiana na mbunge anayemaliza muda wake katika jimbo la Nzega Mjini Dk.Hamis Kigwangala baada ya kuwasili kwenye jimbo hilo mchana wa leo.Kwa sasa anayegombea jimbo hilo ni Hussein Bashe na Dk.Kiwangala anagombea jimbo la Nzega Vijijini
 Mgombe,a urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Magufuli akipunga mkono juu ikiwa ni ishara ya kuwasilimia wananchi wa Nzega mkoani Tabora waliofika kumsikiliza na kumuona ikiwa ni muendelezo wa mikutano yake ya kuoamba kura za urais kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu
 Mgombea urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Magufuli akiteta jambo na mgombea ubung jimbo la Nzega Mjini mkoani Tabora leo mchana
 Mgombea urais wa CCM Dk. John Magufuli aliyevaa kofia akizungumza jambo na Mgombea Ubunge wa jimbo la Nzega Mjini, Ndugu Hussein Bashe (katikati) na Mgombea Ubunge jimbo la Nzega Vijijini Dk.Hamis Kigwangala mchana wa leo walipokuwa kwenye mkutano wa kampeni za urais uliofanyika Uwanja wa Barafu wilayani Nzega mkoani Tabora
  Mgombea Ubunge jimbo la Nzega Vijijini Dk.Hamis Kigwangala akiwasalimia wananchi wa Nzega mchana wa leo walipokuwa kwenye mkutano wa kampeni za urais uliofanyika Uwanja wa Barafu wilayani Nzega mkoani Tabora
 Mgombea Ubunge jimbo la Nzega Vijijini Dk.Hamis Kigwangala akiwahutubia wananchi wa Nzega mchana wa leo walipokuwa kwenye mkutano wa kampeni za urais uliofanyika Uwanja wa Barafu wilayani Nzega mkoani Tabora
  Mgombea Ubunge wa jimbo la Nzega Mjini, Ndugu Hussein Bashe akiwahutubia wananchi walipokuwa kwenye mkutano wa kampeni za urais uliofanyika Uwanja wa Barafu wilayani Nzega mkoani Tabora.
MMoja wa Makaba wa CCM ambaye yupo kwenye orodha ya timu ya kampeni ya kumnadi Mgombea Urais wa chama hicho Dkt John Magufuli,Stephen Masele akiwahutubia wananchi mapema leo mchana kwenye mkutano wa kampeni.

No comments: