Sunday, September 06, 2015

DR. JOHN POMBE MAGUFULI: WALIOHODHI MAENEO YA ARDHI BILA KUYATUMIA WAJIANDAE KUNYANG’ANYWA

????????????????????????????????????

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli akiongozana na mgombea ubunge wa jimbo la Ifakara Ndugu Abubakary Asenga wakiwasili kwenye uwanja wa CCM Tangani mjini Ifakara mkoani Morogoro  tayari kwa kuwahutubia wananchi wa mjini Ifakara na kuwaomba kura huku akiwatahadharisha watu waliohodhi maeneo makubwa ya Ardhi bila kuyaendeleza.
Amesema mara atakapoingia Ikulu atawanyang’anya mashamba hayo na kuyapima upya  ili  kuwagawia wafugaji na wakulima  kuondoa matatizo yanayowakumba wakulima  na wafugaji hao kwa ujumla,  jambo linalopelekea machafuko ya mara kwa mara kwa jamii hizo kutokana na kukosa maeneo ya kufanyia shughuli zao,  wakati kuna maeneo yamehodhiwa na watu lakini hayatumiki ipasavyo.(PICHA NA JOHN BUKUKU WA FULLSHANGWE-IFAKARA)
2
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa mjini Ifakara katika mkutano wa kampeni uliofanyika jioni ya leo kwenye uwanja wa Tangani mjini Ifakara.
3
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati akiwahutubia wananchi katika mkutano huo.
4
Umati wa wananchi ukiwa umefurika katika mkutano huo.
????????????????????????????????????
Wananchi wakiwa katika mkutano huo.
6
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli akionya watu wanaofanya ubadhirifu, Wizi na Ufisadi serikalini na kuahidi kupambana nao.
7
Mwananchi huyu akiwa ameguswa na hotuba ya Dr. John Pombe Magufuli.
8
Baadhi ya walemavu wakifuatilia hotuba ya Dr. John Pombe Magufuli.
9
Hapa ni Dr. John Pombe Magufuli tu.
10
Hawa na ujumbe wao wa kujichora nao walikuwepo kwenye mkutano huo.
11
Kila Mwanamama ni Dr. John Pombe Magufuli Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM. 
12
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Ifakara Ndugu Abubakary Asenga mara baada ya kumkabidhi ilani ya uchaguzi ya chama hicho.
13
Mgombea ubunge wa jimbo la Ifakara Ndugu Abubakary Asenga akizungumza na wananchi na kuomba kura mara baada ya kukabidhiwa ilani ya uchaguzi ya chama hicho na Dr. John Pombe Magufuli.
14
Huu ni ujumbe tosha kwa wafuatiliaji wa Kampeni za mwaka huu kati ya wagombea urais wa vyama tofauti.
15
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya walemavu waliohudhuria katika mkutano wake wa kampeni mjini Ifakara uliofanyika jana jioni kwenye uwanja wa Tangani.
16
Mkuu wa mkoa wa Morogoro Dr. Rajab Rutengwe akizungumza na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Mh. Abdallah Bulembo.
18
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli akisalimiana na wazee mbalimbali waliohudhuria katika mkutano huo.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli akikagua ujenzi wa daraja la mto Kilombero wakati alipokuwa akivuka akitokea Mahenge mkoani humo.
????????????????????????????????????
Mafundi wakiendelea na ujenzi katika daraja hilo.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli akizungumza na wahandisi wa ujenzi wa daraja hilo.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli akiangalia ujenzi wa daraja hilo.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli akivuka na msafara wake katika daraja la muda la mto Kilombero linalotumika kuvusha vifaa vya ujenzi  wa daraja hilo.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Lupiro akiwa njiani kuelekea ifakara mjini akitokea Mlimba.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli akiombewa na viongozi wa dini mara baada ya kumalizika kwa mkutano wake wa asubuhi mjini Mahenge.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli akiwanadi wagembea wa udiwani mjini Mahenge mkoani Morogoro.
????????????????????????????????????
Bodaboda nao ni Magufuli tu mjini Mahenge.
????????????????????????????????????
Angalia Tafakuri yake na alichikishika.
????????????????????????????????????
Wananchi waliojitokeza katika mkutano wa kampeni wa Dr. John Pombe Magufuli mjini Mahenge.
????????????????????????????????????
Angalia hii picha inasema nini.
????????????????????????????????????
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Innocent Kalogeres akizungumza na wananchi mjini Ifakara na kumpigia debe Dr. John Pombe Magufuli.
????????????????????????????????????
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mh. Abdallah Bulembo akimpigia debe Mgombea Urais Dr. John Pombe Magufuli.
????????????????????????????????????
Ikisomeka Hapa Kazi Tu!
????????????????????????????????????
Ifakara moja hiyo.
Post a Comment