Monday, September 14, 2015

DK.ALI MOHAMED SHEIN AZINDUA KAMPENI ZA CCM KIBANDAMAITI UNGUJA

  x3
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akionesha ilani ya Chama cha mapinduzi kwa  wanachama wa CCM na wananchi wa Zanzibar katika ufunguzi wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM zilizofanyika katika viwanja vya Demokrasia Kibandamaiti Unguja.
x6
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wanachama wa CCM na wananchi wa Zanzibar katika ufunguzi wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM zilizofanyika katika viwanja vya Demokrasia Kibandamaiti Unguja.
x1
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na wananchi wapenda amani waliojitokeza katika ufunguzi wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM zilizofanyika katika viwanja vya Demokrasia Kibandamaiti Unguja.
x2
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na wananchi wapenda amani waliojitokeza katika ufunguzi wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM zilizofanyika katika viwanja vya Demokrasia Kibandamaiti Unguja wakinyanyua mikono juu kumuunga mkono Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wanachama wa CCM na wananchi wa Zanzibar katika ufunguzi wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM zilizofanyika katika viwanja vya Demokrasia Kibandamaiti Unguja jana .


X1
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Mgombea wa Rais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho tawala  Dkt. Ali Mohamed Shein wakionesha ilani ya Uchaguzi ya CCM leo wakati wa uzinduzi wa kampeni za Urais mbele ya umati mkubwa  katika uwanja wa Kibandamaiti mjini Unguja Septemba 13, 2015
unnamed
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Mgombea wa Rais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho tawala Dkt. Ali Mohamed Shein  akihutubia jana wakati wa uzinduzi wa kampeni za Urais  katika uwanja wa Kibandamaiti mjini Unguja Septemba 13, 2015
X2
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia  leo wakati wa uzinduzi wa kampeni za Urais katika uwanja wa Kibandamaiti mjini Unguja Septemba 13, 2015
X3
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi akiongea na umati mkubwa sana wa wananchi jana wakati wa uzinduzi wa kampeni za Urais katika uwanja wa Kibandamaiti mjini Unguja.
X4
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongea na umati mkubwa sana wa wananchi jana wakati wa uzinduzi wa kampeni za Urais katika uwanja wa Kibandamaiti mjini Unguja.
X5
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na wananchi wenye furaha baada ya uzinduzi wa kampeni za Urais katika uwanja wa Kibandamaiti mjini Unguja.
X6X7
Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe Benjamin William Mkapa akiagana na viongozi wa CCM Zanzibar baada ya kuhudhuria na pia kuhutubia katika uzinduzi wa kampeni za Urais katika uwanja wa Kibandamaiti mjini Unguja.
PICHA NA IKULU
Post a Comment