Matembezi yaliyoshirikisha wadau mbalimbali ya sekta ya Afya kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya Utepe Mweupe na
uzinduzi wa kampeni ya vifo vya Mama vitokanavyo na uzazi yaliyofanyika leo
March 16,2016 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia maonesho
yaliyoshirikisha wadau wa Taasisi mbalimbali za sekta ya Afya kwenye
maadhimisho ya siku ya Utepe Mweupe yaliyofanyika leo March 16,2016 katika
viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam.

Comments