Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Rajab Luhwavi akisalimia baadhi ya viongozi wa CCM, baada ya kuwasili Ofisi ya CCM mkoa wa Mbeya kwa ajili ya kuzungumza na wafanyakazi wa Ofisi hiyo, akiwa katika ziara ya kikazi leo. Anayemsalimia ni Katibu wa CCM wilaya ya Mbarali Abdallah Mpokwa. Kushoto ni Katibu wa CCM wa mkoa huo Mwangi Kundya
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Rajab Luhwavi akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika Ofisi ya CCM mkoa wa Mbeya leo. Kulia ni Katibu ambaye hajapangiwa kituo, Mariam Yusuf
Katibu wa CCM mkoa wa Mbeya Mwangi Kundya akimsindikiza Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Bara Rajab Luhwavi kwenda ukumbini kuzungumza na watumishi wa Ofisi ya CCM mkoa huo leo
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Rajab Luhwavi akiingia ukumbini kuzungumza na wafanyakazi katika Ofisi ya CCM mkoa wa Mbeya leo. Kulia kwake ni Katibu wa CCM mkoa wa Mbeya Mwangi Kundya
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Rajabu Luhwavi akiwasili ukumbini
Katibu wa UVCCM mkoa wa Mbeya Adiya Mamu akihamasisha watumishi wa Chama, kumkaribisha ukumbini Naibu Katibu Mkuu wa CCM,Rajabu Luhwavi leo
Watumishi wa CCM Ofisi ya CCM mkoa wa Mbeya wakiwa ukumbini
Katibu wa CCM, Wilaya ya Mbeya Vijijini, Lobe Zongo akimkaribisha Katibu wa CCM mkoa wa Mbeya kumkaribisha Naibu Katibu Mkuu Bara kuzungumza na wafanyakazi hao wa Chama mkoa wa Mbeya
Comments